Hodi wenyewe

Jaman mimi ni mgeni, nimefurahi kuwa mmoja wa familia yenu

Naombeni mnipokeee
asanteni

Karibuni sana missme na Tuishi, mie naitwa saudari.

Ni kidume cha Mbegu katika familia yetu, ni mkarimu sana, mpenda watu, nisiye na makuu, mstaarabu, mcheshi.

Ila ningependa kuwajua na ninyi kwa ufupi ikiwa kila mmoja atataja wasifu wake japo kwakifupi kama hamtojali.

BTW karibuni Jf katika kulisongesha gurudumu hili.
 
Last edited by a moderator:

yaani ndo wamepokelewa na wewe? lol!
wamekwisha, ha haaaa
 
Mimi ni binti mrembo, mcheshi, mpenda watu na mstaarabu pia sina makuu mtoto wa watu natumai wasifu wangu umejitosheleza eeh?
 
Ooooh!!! Jamani kweli milima haikutani ila binadamu hukutana. I can't believe my eyes kama leo ningeweza hata kuchat na binti mrembo kama wewe.

Mie sijaoa mpendwa(i meen niko single) ila natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke wangu, vipi kuhusu wewe na nini mipango yako ya baada?
 
ha haaaa, majaaaangaaaaaaaaaaaaaaaaaa...............
 
Haya kaka changamka naona karibu utafanikiwa mi nipo kwa huku nawacheck tu.

Na weye haukawii? Kukuru kakara zanini humu?

Hahahaaaa!!!! Usione kitu watoa mimacho mpaka umemfanya njiwa wangu amekua muoga wakujibu vijimaswali vyangu.
 
Karibuni sana missme na Tuishi, mie naitwa saudari.

Ni kidume cha Mbegu katika familia yetu, ni mkarimu sana, mpenda watu, nisiye na makuu, mstaarabu, mcheshi.

Ila ningependa kuwajua na ninyi kwa ufupi ikiwa kila mmoja atataja wasifu wake japo kwakifupi kama hamtojali.

BTW karibuni Jf katika kulisongesha gurudumu hili.

asante saudari
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom