J junkensh Member May 19, 2013 12 1 Jun 7, 2013 #1 hodi wenyewe!, nimekuwa nikijigonga humu coridoni kutafuta chumba hiki,hodi tena!!
J junkensh Member May 19, 2013 12 1 Jun 7, 2013 Thread starter #3 loh! kimya humu!!, au hakuna wenyeji? maana hata pa kukaa pia cpaoni! wenyewe mpo!?
J junkensh Member May 19, 2013 12 1 Jun 7, 2013 Thread starter #4 loh!,ahsante sana watu8,nashukuru kwa ukaribsho wako!
J junkensh Member May 19, 2013 12 1 Jun 7, 2013 Thread starter #5 Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!.
Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!.
J junkensh Member May 19, 2013 12 1 Jun 7, 2013 Thread starter #6 Waw!, najua nimekosa staftahi kama ambavyo nimechelewa cha mchana,mnihesabu kwenye chajio bac maana njaa yanin'gwenya,hatari!
Waw!, najua nimekosa staftahi kama ambavyo nimechelewa cha mchana,mnihesabu kwenye chajio bac maana njaa yanin'gwenya,hatari!
J junkensh Member May 19, 2013 12 1 Jun 7, 2013 Thread starter #7 wenyeji natoka,naenda kununua cgara hapo mtaa wa tatu,nitarudi,mcnisahau chajio eh!,
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,948 93,899 Jun 7, 2013 #8 junkensh said: Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!. Click to expand... Kwingine wapi huko?
junkensh said: Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!. Click to expand... Kwingine wapi huko?
J junkensh Member May 19, 2013 12 1 Jun 7, 2013 Thread starter #9 huko kwenye vyumba vingine ni hatari,nimerudi,nilienda mtaa wa 3,umenikumbuka kwa chajio?