Hodi wenye nyumba

loh! kimya humu!!, au hakuna wenyeji? maana hata pa kukaa pia cpaoni! wenyewe mpo!?
 
Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!.
 
Waw!, najua nimekosa staftahi kama ambavyo nimechelewa cha mchana,mnihesabu kwenye chajio bac maana njaa yanin'gwenya,hatari!
 
wenyeji natoka,naenda kununua cgara hapo mtaa wa tatu,nitarudi,mcnisahau chajio eh!,
 
huko kwenye vyumba vingine ni hatari,nimerudi,nilienda mtaa wa 3,umenikumbuka kwa chajio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom