Vome Member Oct 15, 2011 71 13 Oct 15, 2011 #1 Mambo vipi? Mimi najiita Vome, kijana mwanamume wa kitanzania, napenda kujiunga kwenye jamii yenu ili kubadilishana mawazo na kuelimishana. Nashukuru sana
Mambo vipi? Mimi najiita Vome, kijana mwanamume wa kitanzania, napenda kujiunga kwenye jamii yenu ili kubadilishana mawazo na kuelimishana. Nashukuru sana
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Oct 16, 2011 #2 karibu blaza, chagua pa kukaa, mkekani au jamvini!
Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,579 5,375 Oct 16, 2011 #3 Karibu Vome. ukitaka kuishi maisha marefu humu JF, nakushauri uanzie hapa: https://www.jamiiforums.com/rules.php<br><br>
Karibu Vome. ukitaka kuishi maisha marefu humu JF, nakushauri uanzie hapa: https://www.jamiiforums.com/rules.php<br><br>
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Oct 16, 2011 #7 Vome said: Mambo vipi? Mimi najiita Vome, kijana mwanamume wa kitanzania, napenda kujiunga kwenye jamii yenu ili kubadilishana mawazo na kuelimishana. Nashukuru sana Click to expand... Karibu na uwakaribishe wengine wenye mtazamo kama wako.
Vome said: Mambo vipi? Mimi najiita Vome, kijana mwanamume wa kitanzania, napenda kujiunga kwenye jamii yenu ili kubadilishana mawazo na kuelimishana. Nashukuru sana Click to expand... Karibu na uwakaribishe wengine wenye mtazamo kama wako.
condorezaraisi JF-Expert Member Sep 4, 2011 225 116 Oct 16, 2011 #9 karibu ..hodi wenyeji sitaki kufungua thread
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Oct 16, 2011 #10 AMINATA 9 said: karibu cjui watumia kinywaji gani Click to expand... anatumia Togwa huyo.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Oct 16, 2011 #12 condorezaraisi said: karibu ..hodi wenyeji sitaki kufungua thread Click to expand... Karibu na wewe umetokea wapi?
condorezaraisi said: karibu ..hodi wenyeji sitaki kufungua thread Click to expand... Karibu na wewe umetokea wapi?