Hodi wana JF!!!!

Vome

Member
Oct 15, 2011
71
13
Mambo vipi?

Mimi najiita Vome, kijana mwanamume wa kitanzania, napenda kujiunga kwenye jamii yenu ili kubadilishana mawazo na kuelimishana.

Nashukuru sana
 
Karibu Vome. ukitaka kuishi maisha marefu humu JF, nakushauri uanzie hapa:&nbsp;https://www.jamiiforums.com/rules.php<br><br>
 
Mambo vipi?

Mimi najiita Vome, kijana mwanamume wa kitanzania, napenda kujiunga kwenye jamii yenu ili kubadilishana mawazo na kuelimishana.

Nashukuru sana

Karibu na uwakaribishe wengine wenye mtazamo kama wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom