K kaka miye Senior Member Sep 25, 2011 172 42 Sep 26, 2011 #1 Hodi jamani mie ni mwanachama mpya naomba ushirikiano katika kila jambo asanteni
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,779 Sep 26, 2011 #2 karibu sana kaka miye. angalia kuna mtu anaitwa paw,ukitumia lugha kali kupita kiasi atakuparua na makucha yake.
karibu sana kaka miye. angalia kuna mtu anaitwa paw,ukitumia lugha kali kupita kiasi atakuparua na makucha yake.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,701 Sep 26, 2011 #3 Ili usiingie katika anga za Paw, soma sheria na kanuni za jf kwa umakini. Karibu sana!
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,554 Sep 26, 2011 #4 karibu sana gonga hapa JamiiForums Disclaimer and Rules
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,596 5,787 Sep 26, 2011 #5 King'asti said: karibu sana kaka miye. angalia kuna mtu anaitwa paw,ukitumia lugha kali kupita kiasi atakuparua na makucha yake. Click to expand... usimtishe.
King'asti said: karibu sana kaka miye. angalia kuna mtu anaitwa paw,ukitumia lugha kali kupita kiasi atakuparua na makucha yake. Click to expand... usimtishe.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,596 5,787 Sep 26, 2011 #6 Karibu sana, ila vigezo na mashariti kuzingatiwa.
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,779 Sep 26, 2011 #10 siku ya kwanza kuambiwa uvuke barabara kwa uangalifu uliona umetishwa? lakini ilikusaidia hadi leo magari hayajakusasambua eeh? Mzee said: usimtishe. Click to expand...
siku ya kwanza kuambiwa uvuke barabara kwa uangalifu uliona umetishwa? lakini ilikusaidia hadi leo magari hayajakusasambua eeh? Mzee said: usimtishe. Click to expand...