HODI wana JF!

Sep 15, 2011
16
6
Ni Mtanzania, naitwa Panjilwa Chiwaligo (Chiwal).

Kumbe nilikuwa nimechelewa! Sikujua, pengine ushamba au ..... Nimetonywa na jamaa kuhusu JF na kweli hapa ni mtungi wa elimu, burudani na kila kitu.

Naombeni mnipokee, ningependa kusoma na kuchangia nyanja zote.

PC
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom