Hodi wana JF- Mniwie radhi kwa kutojitambulisha mapema

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Naomba mnikaribishe japo nilijiunga siku nyingi. Nimefaidika sana na jamvi na ninategemea kuendelea kufaidika na kuwafaidisha wengine
 
jamani,mwaka mzima bado uko kwenye u-member???
naogopa kusema karibu maana wewe ni mwenyeji zaidi yangu ati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom