Hodi wana great thinkers wooooooooooote

Aine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,603
488
jameni wazima? nawapongeza woooooooooooote kwanza, mpo juuu, nami nijiunge rami
 
aine
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Mon Nov 2010 Posts 75 Thanks 25 Thanked 10 Times in 8 Pos


umekosa cha kuandika mbona upo siku nyingi??
 
Unaingia hadi chumbani,baadaye unapiga hodi huoni aibu!hizi ndiyo mila na desturi za kabila lako!!huna jipya ndugu yangu!kwa kifupi umechemka!!
 
Mh!!inamaana kumbe ni mwenyeji huyu ?basi inawezekana alisahau kupiga hodi zamani ila ni kawaida kwakuwa hata embe unaweza ukalila kwanza afu mwisho kabisa ndo ukanawa mikono.
 
jameni wazima? nawapongeza woooooooooooote kwanza, mpo juuu, nami nijiunge rami
wewe upo chini? tupo juu ya nani? tunafanya nini huko juu? usishtuke, kesho nina mtihani wa kuhakiki sentensi za kiswahili , nafanya practice kupitia hii post yako.

karib bana.
 
ni vizuri umerudi nyuma kujitambulisha ..
na tunakukaribisha kwa mikono miwili ..
karibu sana......
 
Back
Top Bottom