SAWAAAA.........Kama kichwa kinavyo jieleza Mimi no member mpya kabisa hivyo nahitaji mapokezi Kama ilivyo ada kwa wageni
Loading........
Kwa ushauri
Maoni
Tahadhari nk nk
Mnikaribishe jamvini
Nawasilisha
Ahsanteni
Uuwiii. Nlitaka nikutag Shem kumbe ushafika. πππKaribu sana JF mjukuu wetu GT.
Sichelewagi shemela....Uuwiii. Nlitaka nikutag Shem kumbe ushafika. πππ
Hahahaa. Safi sana ShemSichelewagi shemela....