Hodi waheshimiwa!

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,537
6,458
Naja naja kwa adabu
kwenye jukwaa la adabu
wengi wenu wa adabu
thamani kama dhahabu

natarajia mafunzo
na mapambano kwa wingi
tujenge taifa letu
Tanzania itadumu!
 
Mh!wewe acha usanii unaingia,unakaa tena kwa muda mrefu na baadaye unapiga hodi.Je hii ni mila na desturi ya kabila gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom