Habarini waungwana wa jamii forum, jina langu ni
Mcharuko au Dada mcharuko au shangazi mcharuko!
Naomba mnipokee humu ndani.
Tujumuike
Duh! unavyonikemea kama pepo vile, kumbe nimekuangalia vizurimcharuko, unatabia mbaya unasema hodi wati ukondani? Rudi kajifunze ndo urudi, kwanza umeingia na via2, toka na kwambia tokaaaaa.....
ingia tu hadi chumbani mbona mkewe kasafiri na watoto af housegal nae kaenda kusalimia kijijiniAhsante but nitaishia Sebuleni!
mcharuko, unatabia mbaya unasema hodi wati ukondani? Rudi kajifunze ndo urudi, kwanza umeingia na via2, toka na kwambia tokaaaaa.....
Karibu sana..lakini ilo jina Mcharuko!?! Hopefully hutakuwa mcharuko kweli, maana utafanya raia wakucharukie sana humu.... Karibu sana.
Habarini waungwana wa jamii forum, jina langu ni
Mcharuko au Dada mcharuko au shangazi mcharuko!
Naomba mnipokee humu ndani.