Hodi, naomba ushirikiano wenu

Justen12

Senior Member
Feb 6, 2021
104
90
Nihitaji kuwa mwanachama wa JF tatizo linapo kuja namna ya kuchangia mada za watu au kutoa maoni kwangu inakuwa shida sehemu ya kuandia sipaoni wenyeji msaada wenu
 
Unatumiaa jf ip ile ya free basic kutokea ukurasa wa facebook au unatumia app ya free basic ambayo ndani kuna tovuti za bure au unatumia app original ya jf uksem tatizo linakwisha
 
Back
Top Bottom