Flashfifty
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 226
- 563
Hellow everyone..mim ni mgeni hapa naomba ukaribisho wenu wakuu najua nitajifunza mengi..Ahsanteni
Karibu sana, tuma picha za utambulisho sasa
Karibu sana bibie, uwe wazi huko PM, pia kama hujasoma user policies zipitie, weka picha ya utambilisho. Karibu.
Karibu Mgeni Mwenyeji Apone
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Karibu sana jisikie uko nyumbani.
Fal yatafadhwalu mashkurra.. marahabaa