Hodi, Naomba kujiunga nanyi

Potatoes

Member
Aug 26, 2016
78
79
Wapendwa wa jf, hodi.Naomba kujiunga nanyi kwenye jukwaa hili maarufu.

Nilikuwa nachungulia tu ila sasa naona niingie sebuleni kabisa niangalie tv na kushiriki mazungumzo. Asante!
 
Karibu aseeh potatoes Usiishie sebuleni eeeh..then taja jinsia basiii
 
mwanaume unajiita potatoes???
Ndugu, hapa jf ukianza kutafsiri id za wadau utachoka! Id ni majina tu hayatafsiriwi. We washangaa mimi kujiita potatoes? Na kwenye id zifuatazo utashangaa kuzimia au kufa? Hapa jf kuna: Mende Msafi, Kunguni wa Ulaya, Roboti la Matope, Jambazi nk nk.Umezimia tayari au umekufa kabisa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom