Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,687
- 5,443
Naombeni mnipokee wenyeji, nimatumaini yangu mtanipa ushirikiano. Ahsanteni.
Naogopa mkuu kama papai limepimwa likakutwa positive mimi je!Umeshapimwa Corona?
Karibu papai mkuu.Aliekuambia Kuna ndani humu nani..?
Umepiga nyungu kweli wewe..?
Au umekuja tu kutuletea covid!!
Rudi ulikotoka humu tumepiga lockdown
Kula papaiUshirikiano wa nn.???
Ahsante🙏Mawawa ndio nini?
Karibu sana jf
Ahsante 🙏Karibu sana JF mjukuu wetu upte kufaidi.