Hodi, mgeni wenu nahitaji mwenza wa maisha

cocoitwa

Member
Sep 7, 2016
14
10
Habari wana JF wote,

Natoa pongezi sana kwa members wote wa JF kwa michango yao, ushauri, maelezo na hata baadhi ya tafiti wanazotoa katika Forum hii ili kuendeleza maisha na taifa kwa ujumla, nimevutiwa mno na JF hivyo nikaamua nami niwe member ili niweze kupata msaada.

Turudi kwenye mada, mimi ni mkaka wa 37yrs old, nimekuwa mdau wa JF toka mwaka 2012 mwanzoni na nimekuwa nikipitia thread nyingi bila kuchangia wala kucomment mana sikuwa member, ila kiukweli watu wengi wamepata msaada kupitia JF.

Hivyo basi nikiwa kama mgeni nimekuja na suala linalonisumbua kichwa muda mrefu. Ukweli ni kwamba natafuta mwenza wa kuishi naye kama mke na mume (ndoa inahusika), tena yule ambaye ana matatizo ya uzazi, maana hawa wamekuwa wakikosa amani na upendo katika maisha yao kisa familia nina sababu zangu za kuhitaji mwanamke asiye na uwezo wa kubeba mimba, happiness forever, awe na umri kuanzia 30 - 40 yrs old.

Please kwa yule ambaye yupo serious anipm.

Mwisho nawatakia kila la kheri wana JF wote pamoja na familia zao, nitashukuru sana kwa michango na comments zenye kujenga.

Naomba mnipokee.
 
habari wanajf wote!! natoa pongezi sana kwa members wote wa jf kwa michango yao,ushauri,maelezo na hata baadhi ya tafiti wanazotoa katika forum hii ili kuendeleza maisha na taifa kwa ujumla.. nimevutiwa mno na jf hivyo nikaamua nami niwe member ili niweze kupata msaada..
turudi kwenye mada,mimi ni mkaka wa 37yrs old,nimekuwa mdau wa jf toka mwaka 2012 mwanzoni,na nimekuwa nikipitia thread nyingi bila kuchangia wala kucomment mana sikuwa member,ila liukweli watu wengi wamepata msaada kupitia jf.
hivyo basi nikiwa kama mgeni nimekuja na suala lialonisumbua kichwa muda mrefu. ukweli ni kwamba natafuta mwenza wa kuishi naye km mke na mume ( ndoa inahusika ),tena yule ambaye ana matatizo ya uzazi,maana hawa wamekuwa wakikosa amani na upendo katika maisha yao kisa familia.. nina sababu zangu za kuhitaji mwanamke asiye na uwezo wa kubeba mimba,happiness forever.. awe na umri kuanzia 30 - 40 yrs ol.... pls kwa yule ambaye yupo serious anipm...
mwisho nawatakia kila la kheri wanajf wote pamoja na familia zao,ntashukuru sana kwa michango na comments zenye kujenga.
naomba mnipokee....
Duu!!kila la kheri mkuu mafanikio mema!!
 
Haya wanawake mliokubuu kwa kutoa mimba mtafuten jamaa huyo anehitaj kuku wa mayai na jike shupa
Duuuuh
Maisha mema bro
Mm nammendea bnt flan hv humu nataka nimtemee sumu live
 
Unataka demu hapa kweli are you Sirius? Sana sana utapambana na waliokata tamaa ,Wake za watu michepuko ,na wagonjwa
Mkuu hawa wanawake waliopo humu sindio tunaishi nao huku mitaani.Au wa huku wanaishi sayali nyingine?.
 
naona unatafuta mbuzi wa kutoa kafara, y ume specify ambaye hazai? kwangu hapo kuna question mark.

Sorry kama nitakukwaza ila nakuuliza huko mtaani kwako hujaona hadi umefikia umri huo? na je afya yako ina usalama?

just wanna know ili nitoe ushauri wangu kwa maana wakati nasoma kuna kengele imegonga kichwani mwangu.
 
Getting to Tanzania.jpg

Nipo Arusha ni mgeni ndio naingia sasa,wapi IPO Dada poa Love Connect Dec 14, 2014
Mie ni mgeni humu ila mahususi nahitaji mdada (mke) Love Connect Jun 1, 2014
Hodi mpaka ndani...! wenyewe mupo....? Love Connect Jan 8, 2014
natafuta mpenzi mkwel mm ni mgeni dar nina mwez tu Love Connect Apr 26, 2012
mie mgeni ila nimevutiwa na love connect huwa nacheka sana mpaka basi!!!
 
Mmmmmh haya mimi nipo kaka angu lkn ishazaa nimefunga na uzazi au ww wataka ambaye hajawahi kubeba mimba kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom