Hodi kwenye game

davidmimbi

Member
Nov 1, 2010
18
0
Nimeingia kwenye jamii forum kwenye kipindi kitamu ambapo CCM inagalagazwa kama mbayuwayu.........washikaji wamemwachia JK limfie mkononi? Anyway' Hongera sana Chadema, mmeonyesha njia,mkawakabe koo vizuri katika utendaji tuone mabadiliko. Viva Tanzania
 
Karibu sana...
Umefika kipindi ambacho kinaonekana kitamu, lakini huko nyuma yamefanyika mapigano sana hadi kufika hapo!
Karibu, pitiliza chumbani ubadilishe na kunawa, then uje ukumbini utujuze watoka wapi, na ni wa jinsia gani!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom