G GPP1922 JF-Expert Member Sep 8, 2019 533 532 Sep 9, 2019 #1 Habari GT! Nimeingia humu rasmi naomba baraka zenu wadau, naamini nitajifunza mengi kupitia jf!
Diason David JF-Expert Member Aug 2, 2018 7,562 7,348 Sep 9, 2019 #2 karibu sana jukwa huru la kutoa hoja bila uwoga wa kutishwa na yeyote na ziwe za kujenga nasio kubomoa mkuu
karibu sana jukwa huru la kutoa hoja bila uwoga wa kutishwa na yeyote na ziwe za kujenga nasio kubomoa mkuu
carcinoma JF-Expert Member Mar 5, 2017 5,059 13,718 Sep 9, 2019 #4 Karibu sana mkuu. Kwa utambulisho mfupi tuma picha yako ya hivi karibuni. Namba ya simu. Eneo unaloishi . Elimu yako..
Karibu sana mkuu. Kwa utambulisho mfupi tuma picha yako ya hivi karibuni. Namba ya simu. Eneo unaloishi . Elimu yako..
G GPP1922 JF-Expert Member Sep 8, 2019 533 532 Sep 9, 2019 Thread starter #5 Ninafurahi kuwa mwanafamilia wa jf!
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,038 10,678 Sep 10, 2019 #6 carcinoma said: Karibu sana mkuu. Kwa utambulisho mfupi tuma picha yako ya hivi karibuni. Namba ya simu. Eneo unaloishi . Elimu yako.. Click to expand... Jinsia vipi?
carcinoma said: Karibu sana mkuu. Kwa utambulisho mfupi tuma picha yako ya hivi karibuni. Namba ya simu. Eneo unaloishi . Elimu yako.. Click to expand... Jinsia vipi?
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,038 10,678 Sep 10, 2019 #7 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.