braza bonge
Member
- Jul 13, 2018
- 79
- 99
Baada ya kuperuz jf kwa muda mrefu sasa nmeamua kufungua account ili nifaidi vya jf vizuri,, fanya kama unankaribisha bac
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu comment yako ndo ya kwanza kwenye maisha yangu ya jf! I save it! ahsanteHivi ukiingia kwenye ndege unawaamkia abiria wote?Karibu.
Na una bahati umenikuta sijabugia balimi.mkuu comment yako ndo ya kwanza kwenye maisha yangu ya jf! I save it! ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app