Mgeni siku ya kwanza....................., natumai nitapata mapokezi mazuri.
Mimi nitakuja na mgeni please tuandalie ugali na maziwa ya mtindikabisa na mimi ndio niko shift mapokezi leo...utapenda kula nini?
Mimi nitakuja na mgeni please tuandalie ugali na maziwa ya mtindi
Teh teh teh FULL SUTI, mwaya karibu mgeni lakini siku ya pili ushike jembe ukalime.hakuna tatizo......kwa kuwa mmeamua kula suti (ugali&maziwa) nitaandaa
Teh teh teh FULL SUTI, mwaya karibu mgeni lakini siku ya pili ushike jembe ukalime.
Mimi nimetinga rubega katika kudumisha milahakuna tatizo......kwa kuwa mmeamua kula suti (ugali&maziwa) nitaandaa
Mpwaaa umerudiiiiiiiiiiiii, nina furaha sana kukuona jamvini kakakaribu sana babaake.
jiskie home!
Mgeni siku ya kwanza....................., natumai nitapata mapokezi mazuri.