Hodi Jamvini

Kiraka

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
3,838
3,081
Habari zenu Waungwana
Mimi ni Kiraka nimefurahishwa na jamvi, naona hakuna tundu ila nitakuwepo, kama itabidi nitatumika kuziba, kama niitwavyo.

Naomba kukaribia....
 
karibu bwana kiraka hapa ndio Jf home of great thinkers....are you a great thinker? hope to see your makwekwezi
 
Habari zenu Waungwana
Mimi ni Kiraka nimefurahishwa na jamvi, naona hakuna tundu ila nitakuwepo, kama itabidi nitatumika kuziba, kama niitwavyo.

Naomba kukaribia....

Karibu sana Kiraka, lakini ni vema ukatuambia jina "Kiraka" umelichaguaje? au ni la kuzaliwa/kubatizwa? Huku kuna makundi mengi kama vile, singles, married, akina bwabwa, tiGO lovers, walokole wa kila aina, na hata wasiotaka kuoa wala kuolewa. We utakuwa kundi gani?
 
Karibu sana Kiraka, lakini ni vema ukatuambia jina "Kiraka" umelichaguaje? au ni la kuzaliwa/kubatizwa?
ebu na wewe niambie hili jina la Konakali ulilipatia wapi? itakuwa pouwa sana mhe.
 
KonaKali/wote
Asanteni sana, kukujibu Konakali, jina Kiraka nilipewa na wazazi wangu nilipozaliwa. Kwa kirefu ni Kiraka Majiyatanga, na nitakuwa kwenye kundi la walio olewa.

Asanteni
 
unamaanisha umeolewa au utakuwa unawasapoti walioolewa? na labda kuclear doubts wewe ni jinsi gani Kiraka?

We ulitaka uanze kunyemelea kama utafaidi? Nyumba tayari imeshajengwa kwenye uwanja huo, na hakuna nafasi tena.

Huku tunatambua jinsia mbili tu; wa kuolewa (wanawake) na wa kuoa (wanaume). Kama ameolewa sasa bado unadhani huyu ni BWABWA? Siye, ni mtu na heshima yake.
 
We ulitaka uanze kunyemelea kama utafaidi? Nyumba tayari imeshajengwa kwenye uwanja huo, na hakuna nafasi tena.
kweli bra Konakali naona umeshajikatia steki bestie, ila kuna ma-plunders humu wanatisha kwa kutumia primitive ways of accumulation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom