Hodi Jamvini

TheBulldozer

New Member
Apr 27, 2009
3
0
Mambozzz wenye nyumba na wenyeji. Naomba kukaribishwa jamvini.
Waislam Assalaam Alaikum, wakristo Bwana Asifiwe, wengineo nawasalimia.
 
Karibu sana. Kwa uhondo utaoufaidi humu ndani, naamini utaalika na wengine wajiunge. Again, karibu sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom