Hodi jamani.......

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Samahani nilikuja wakati wa uchaguzi, samahani sikufanya busara kupiga hodi kwanza.... Hamjambo ndugu zangu?
 
OMG.......yaani umeshaizoea nyumba ndio unapiga hodi...........ahahahaaaaaah karibu sana!
 
Unapiga hodi wakatu imeshamiliki mji?? hii wapi na wapi, anyway karibu:flypig::flypig:
 
Mh!wewe acha usanii unaingia,unakaa tena kwa muda mrefu na baadaye unapiga hodi.Je hii ni mila na desturi ya kabila gani?
 
Mh!wewe acha usanii unaingia,unakaa tena kwa muda mrefu na baadaye unapiga hodi.Je hii ni mila na desturi ya kabila gani?

Nilipitiwa ndugu yangu... nilikuta kuna mambo ya uchaguzi humu ndani nikapitiwa nikajikuta nimeshaingia
 
Back
Top Bottom