He/shostito?Hamjambo jamani
FBI at work!Binamu umeng'amua vip?
karibu jimy
Shostito Karibu jamvini
Kaja kiumeume acjulikane ama vipi. Jimy ama Jamilla karibu JIMY humu ha ha haaaaaaaaaaaaHahahahaha! Ya leo kali!
LOLZ! Kweli hapa ma great thinkers yako kazini. Ulifanikiwa kukamata namba ya BF wake?Kaja kiumeume acjulikane ama vipi. Jimy ama Jamilla karibu JIMY humu ha ha haaaaaaaaaaaa
Cjainyaka ila nitwasiliana naye.LOLZ! Kweli hapa ma great thinkers yako kazini. Ulifanikiwa kukamata namba ya BF wake?
Cjainyaka ila nitwasiliana naye.
M2 mwenyewe haitikii ukaribisho ama kasusa. Atakuja kesho ama?
Asanteni wakuu