Luftahansa
Member
- Jan 23, 2020
- 14
- 14
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😢😢 nimekukosea nini mkuuHapo unajiona mjanja.!!
Unavyoona unaweza kunikosea kwa kichwa hicho?nimekukosea nini mkuu
Nyie ndo wale mabrother Uchwara mnaosumbua First Year chuoniUnavyoona unaweza kunikosea kwa kichwa hicho?
Wenzako wakija wanakuja na akili japo za kutafuta wachumba wewe siku ya kwanza tu unatuonesha matako.Nyie ndo wale mabrother Uchwara mnaosumbua First Year chuoni
Peleka Ujinga wako na ubabe wako wa putin Huko
Hiyo pic n yako nini buda mbona Kelele mingi anyway sorry sirudii kuweka Nyama zako huku niache aseWenzako wakija wanakuja na akili japo za kutafuta wachumba wewe siku ya kwanza tu unatuonesha matako.
Hiyo pic n yako nini buda mbona Kelele mingi anyway sorry sirudii kuweka Nyama zako huku niache ase