Mwakifulefule Atufigwege
Member
- Dec 5, 2019
- 78
- 71
Naitwa Mwakifulefule naomba kuunga mkono juhudi za jei efu katika kuelimisha umma wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
nashukuru sana mkuu kwa ushirikiano wakoTangu upige hodi Ijumaa mpaka leo Jumapili hakuna aliye kukaribisha! Karibu sana JF.
Nashukuru nshakaribia mkuuKaribu sana JamiiForums...