peace lady Tz
Member
- Sep 4, 2018
- 19
- 6
Habari zenu wana jf mm ni mgeni humu ndani naombeni ushirikiano wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku iz umekuwa mtundu mdogo wanguKaribu pm yangu IPO wazi
Nimefuta commentSiku iz umekuwa mtundu mdogo wangu
nimecheka sana aitheeeNimefuta comment
Kwann umechekanimecheka sana aitheee
@ledada mbona umepotea sanaKaribuu
Karibu sana mremboHabari zenu wana jf mm ni mgeni humu ndani naombeni ushirikiano wenu
Nipo mbao za mawe hatuonani tu@ledada mbona umepotea sana
Plate number ya helkoptaKaribu sana mrembo
Humu kumejaa watu wema
Mimi km mojawap nakuzawadia vocha ya buku 10 ili uenjoy mkuu
Ingiza hizi token 7654 6547 4565 34
Nipo mbao za mawe hatuonani tu
Dogo utakuwa umezoea kuanda bodaboda wwPlate number ya helkopta
Hahahaha, hilo jukwaa hivi liko wapi? Nalitafuta sana.Umepotelea jukwaa la wakubwa sijui unataka kugundua nini kipya.
Hivi huko bunju hakuna mwingine mwenye helkopta?Dogo utakuwa umezoea kuanda bodaboda ww
Tangu lini helikopta ina plate namba au unazungumzia "plate" za kulia ugali kijijini kwenu
Hahahaha, hilo jukwaa hivi liko wapi? Nalitafuta sana.
Wewe ni Mod kumbeeh?Ni Pm nikuunganishe