Hodi Hong Kong...

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,354
Hallow guys.....

Niko Hong Kong kwa muda. Nimeboreka mbaya. Any JF member down here?
 
Dah pole bana,sisi 2po bongo bana 2nakula bata wa huku 2.hav a nc time there!
 
Pole biggie.....kwa kuboreka.

Hakyanani nimeimisi serengeti, valuu na mdudu..... Hapa Lugha no kupanda na hawa watu....Hata the needful inakuwa ngumu.
 
Dah pole bana,sisi 2po bongo bana 2nakula bata wa huku 2.hav a nc time there!

Naimisi bongo dearly...naimisi albatar, serengeti, valuu na mishemishe za mjini hapo na mafoleni ya magari. Bongo Raha bana!
 
Back
Top Bottom