Shonnah JF-Expert Member Dec 3, 2013 200 55 Dec 13, 2013 #1 Am new hapa,kuku mgeni mie bdo kamba mguun ninayo...
Daud omar JF-Expert Member Apr 4, 2011 2,458 977 Dec 13, 2013 #2 Karibu jf, ngoja wanakuja wengine kukukata hiyo kamba, lkn kabla ya yote jinsia yako tafadhali??
majigambo Member Dec 13, 2013 20 8 Dec 13, 2013 #3 duh bora nimepata mgeni mwenzangu...ila jinsia yako haiku wazi..mimi ni kaka km ninavyoonekana ktk picha hapo.
duh bora nimepata mgeni mwenzangu...ila jinsia yako haiku wazi..mimi ni kaka km ninavyoonekana ktk picha hapo.
Paul Ngigwa New Member Dec 2, 2013 3 0 Dec 13, 2013 #4 Karibu sana. Jisikie huru kama upo kwako vileeeeeeeeee
Daud omar JF-Expert Member Apr 4, 2011 2,458 977 Dec 13, 2013 #5 majigambo said: duh bora nimepata mgeni mwenzangu...ila jinsia yako haiku wazi..mimi ni kaka km ninavyoonekana ktk picha hapo. Click to expand... Wew hata hujakaribishwa umeshaingia
majigambo said: duh bora nimepata mgeni mwenzangu...ila jinsia yako haiku wazi..mimi ni kaka km ninavyoonekana ktk picha hapo. Click to expand... Wew hata hujakaribishwa umeshaingia
M MWANAKA JF-Expert Member Oct 4, 2013 4,855 4,369 Dec 13, 2013 #6 karibu sana Sehemu pekee ambapo watu huthubutu kuusema ukweli Kuwa huru kwa kila jambo ingawa vigezo na masharti kuzingatiwa
karibu sana Sehemu pekee ambapo watu huthubutu kuusema ukweli Kuwa huru kwa kila jambo ingawa vigezo na masharti kuzingatiwa
Daud omar JF-Expert Member Apr 4, 2011 2,458 977 Dec 13, 2013 #7 Wageni wengi leo, mumetokea wapi eti??
Lovebird JF-Expert Member Sep 27, 2012 5,784 7,747 Dec 13, 2013 #8 umekuja KIMAHABATI-mapenzi ama Kisiasa, kimichezo.au ?
McDonaldJr JF-Expert Member Sep 25, 2013 6,388 7,551 Dec 13, 2013 #9 Karibu sana duh hiyo kamba itakatwa vzr ukitaja jinsia yako haaahaa
Nilufer JF-Expert Member May 10, 2012 9,316 12,826 Dec 13, 2013 #10 Lovebird said: umekuja KIMAHABATI-mapenzi ama Kisiasa, kimichezo.au ? Click to expand... sijui kakimbilia wapi? lakini naona yupo kimahabati zaidi si unaona ameanzia hapa.
Lovebird said: umekuja KIMAHABATI-mapenzi ama Kisiasa, kimichezo.au ? Click to expand... sijui kakimbilia wapi? lakini naona yupo kimahabati zaidi si unaona ameanzia hapa.
Shonnah JF-Expert Member Dec 3, 2013 200 55 Dec 13, 2013 Thread starter #12 Jinsia ya KE,nashukuru kwa kukarbshwa
Shonnah JF-Expert Member Dec 3, 2013 200 55 Dec 13, 2013 Thread starter #13 Daud omar said: Wageni wengi leo, mumetokea wapi eti?? Click to expand... kwa upande wangu nlikuwa background tu ila mwenyeji wa kusoma uzi wa wadau
Daud omar said: Wageni wengi leo, mumetokea wapi eti?? Click to expand... kwa upande wangu nlikuwa background tu ila mwenyeji wa kusoma uzi wa wadau
Shonnah JF-Expert Member Dec 3, 2013 200 55 Dec 13, 2013 Thread starter #14 Lovebird said: umekuja KIMAHABATI-mapenzi ama Kisiasa, kimichezo.au ? Click to expand... Nadhan hapa panajieleza kunahtaj mtu wa namna gani
Lovebird said: umekuja KIMAHABATI-mapenzi ama Kisiasa, kimichezo.au ? Click to expand... Nadhan hapa panajieleza kunahtaj mtu wa namna gani
MankaM JF-Expert Member Apr 20, 2013 9,448 3,051 Dec 13, 2013 #15 Karibu sana inaonekana una experienc japokuwa ni mgeni unakaribishwa jukwaa hili na mengne meng yaliopo
Karibu sana inaonekana una experienc japokuwa ni mgeni unakaribishwa jukwaa hili na mengne meng yaliopo
Mapi JF-Expert Member Mar 10, 2011 6,850 2,732 Dec 13, 2013 #16 aiseee...! Kumbe ni KE!! Unajua na mimi ni ME..Tukifahamiana itakuwa JE? Hahahahaha karibu sana
Shonnah JF-Expert Member Dec 3, 2013 200 55 Dec 13, 2013 Thread starter #17 Mapi said: aiseee...! Kumbe ni KE!! Unajua na mimi ni ME..Tukifahamiana itakuwa JE? Hahahahaha karibu sana Click to expand... teh!thanx
Mapi said: aiseee...! Kumbe ni KE!! Unajua na mimi ni ME..Tukifahamiana itakuwa JE? Hahahahaha karibu sana Click to expand... teh!thanx
Davion Delmonte Jr. JF-Expert Member Oct 27, 2013 2,149 1,710 Dec 13, 2013 #18 wewe ni MME au MKE na unatafuta MME au MKE au una MME au MKE?
byb sac JF-Expert Member Dec 10, 2013 910 386 Dec 13, 2013 #19 waooo karibu mwezangu.ingawaje nami nimevamia jukwaa bila hodiii..i
Hornet JF-Expert Member Apr 29, 2013 26,117 49,476 Dec 13, 2013 #20 Shonnah said: teh!thanx Click to expand... karibu,itapendeza ukiandika thanks..