Hodi hodiiiii!

Karibu jf, ngoja wanakuja wengine kukukata hiyo kamba, lkn kabla ya yote jinsia yako tafadhali??
 
duh bora nimepata mgeni mwenzangu...ila jinsia yako haiku wazi..mimi ni kaka km ninavyoonekana ktk picha hapo.
 
karibu sana
Sehemu pekee ambapo watu huthubutu kuusema ukweli
Kuwa huru kwa kila jambo ingawa vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Karibu sana inaonekana una experienc japokuwa ni mgeni unakaribishwa jukwaa hili na mengne meng yaliopo
 
aiseee...! Kumbe ni KE!! Unajua na mimi ni ME..Tukifahamiana itakuwa JE? Hahahahaha karibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom