Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,355
- 1,411
Hodi hodi! Wenye mji, kwa mara ya kwanza kuwa member wa Jamiiforums, ingawa nilikuwa msomaji mzuri wa mahubiri yenu.
Naomba mnikaribishe
Naomba mnikaribishe
Aisee naogopa kula za uso coz kila mji una wazee wake!Huku ukigonga hodi mara 2 tatu we ingia tu watu wako bize sana