Hodi hodi

Yerusalem

Member
Oct 5, 2011
71
72
Hodi hodi wana jamii forum,Ninafuraha kuungana nanyi katika kutoa na kuchangia hoja mbalimbali katika jukwaa huru
 
Yerusalem, uje na uzoefu wako wa miaka kedekede utokanao na mapambano ya maisha kati ya mataifa hasimui, bali wewe uwe mpole, usitutishe kwa mabomu.
 
Back
Top Bottom