marhabaaaa!......hujambo totoooo,umekula?haya maliza basi nikutume dukani,kwani umetoka wapi mbn vumbi sana miguuni kwako?ulikuwa unacheza peku eeeeeeeeeeh?sasa leo utakoma utachezea bakora mpaka ukome ngoja babako aje.
Naona umejiunga ukatoka na malalamiko ya wamalawi, sasa zogo likiisha utaendelea kuwa mwanachama au ndo utapotea manake hapa huwa wengi wanajitambulisha badae utasikia wanatafuta mchumba au nyumba inauzwa au gari badae kimya kikuu. Bwamdogo Karibu!Wakubwa shikamoo, wadogo hamjambo? Wenzangu mambo vipi?
marhabaaaa!......hujambo totoooo,umekula?haya maliza basi nikutume dukani,kwani umetoka wapi mbn vumbi sana miguuni kwako?ulikuwa unacheza peku eeeeeeeeeeh?sasa leo utakoma utachezea bakora mpaka ukome ngoja babako aje.
Jinsia...............Wakubwa shikamoo, wadogo hamjambo? Wenzangu mambo vipi?
Naona umejiunga ukatoka na malalamiko ya wamalawi, sasa zogo likiisha utaendelea kuwa mwanachama au ndo utapotea manake hapa huwa wengi wanajitambulisha badae utasikia wanatafuta mchumba au nyumba inauzwa au gari badae kimya kikuu. Bwamdogo Karibu!
TMKa.k.a DUMEKidume wewe je?