Hodi hodi wenyewe!

marhabaaaa!......hujambo totoooo,umekula?haya maliza basi nikutume dukani,kwani umetoka wapi mbn vumbi sana miguuni kwako?ulikuwa unacheza peku eeeeeeeeeeh?sasa leo utakoma utachezea bakora mpaka ukome ngoja babako aje.
 
Sio vizuri ivoo kumtisha mtoto ..haya sasa babae nimekuja sitamchapa kwa leo mpaka aoneshe tabia mbaya mbele ya nduguze...

Karibu kijana pita mpka uani ukutane na nduguzo huko..
 
Wakubwa shikamoo, wadogo hamjambo? Wenzangu mambo vipi?
Naona umejiunga ukatoka na malalamiko ya wamalawi, sasa zogo likiisha utaendelea kuwa mwanachama au ndo utapotea manake hapa huwa wengi wanajitambulisha badae utasikia wanatafuta mchumba au nyumba inauzwa au gari badae kimya kikuu. Bwamdogo Karibu!
 
Karibu dogo vipi wenzio wameshatolewa lupango ama tulete jeshi kabisa?
 
karibu, hivi wewe na cheusimangala ni wamoja, mbona mmeingia kwa style moja
 
marhabaaaa!......hujambo totoooo,umekula?haya maliza basi nikutume dukani,kwani umetoka wapi mbn vumbi sana miguuni kwako?ulikuwa unacheza peku eeeeeeeeeeh?sasa leo utakoma utachezea bakora mpaka ukome ngoja babako aje.

Nisamehe mwanao usimwambie baba
 
Sio vizuri ivoo kumtisha mtoto ..haya sasa babae nimekuja sitamchapa kwa leo mpaka aoneshe tabia mbaya mbele ya nduguze...

Karibu kijana pita mpka uani ukutane na nduguzo huko..

Asante baba
 
Naona umejiunga ukatoka na malalamiko ya wamalawi, sasa zogo likiisha utaendelea kuwa mwanachama au ndo utapotea manake hapa huwa wengi wanajitambulisha badae utasikia wanatafuta mchumba au nyumba inauzwa au gari badae kimya kikuu. Bwamdogo Karibu!

Bado nitakuwa wana JF hadi kifo kinitenganishe hicho ni kiapo changu ningependa ikiite kiapo cha damu! Nashukuru kunipokea JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom