Hodi Hodi Wenye Mji

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494
wakubwa shikamooni,
rika langu habari niaje?
Wadogo zangu hamjambo?

Nimejiunga Huku ili kuchanganya busara za kupewa na zangu..
Hope The Forum will make me Wiser
 
wakubwa shikamooni,
rika langu habari niaje?
Wadogo zangu hamjambo?

Nimejiunga Huku ili kuchanga busara za kupewa na zangu..
Hope The Forum will make Wiser

habari ni powa tu Puppy. Karibu sana.
 
Karibu mkuu
elewa kwamba JF ni kipimo cha uvumilivu na kila mtu humu ana mtazamo, fikra, mawazo, itikadi zake jambo la msingi soma kanuni na sheria za JF ili tuende sawa
Karibu sana!!!?
 
Karibu mkuu
elewa kwamba JF ni kipimo cha uvumilivu na kila mtu humu ana mtazamo, fikra, mawazo, itikadi zake jambo la msingi soma kanuni na sheria za JF ili tuende sawa
Karibu sana!!!?

Asante mkuu... Uvumilivu ninao na nitaheshimu mawazo na mitazamo ya wengine.. Na wao pia waheshim yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom