wakubwa shikamooni,
rika langu habari niaje?
Wadogo zangu hamjambo?
Nimejiunga Huku ili kuchanga busara za kupewa na zangu..
Hope The Forum will make Wiser
Karibu mkuu
elewa kwamba JF ni kipimo cha uvumilivu na kila mtu humu ana mtazamo, fikra, mawazo, itikadi zake jambo la msingi soma kanuni na sheria za JF ili tuende sawa
Karibu sana!!!?