Hodi hodi wana JF...

Mporipori

Member
Nov 22, 2010
44
0
Kikamavu naingia, salam wafamilia,
mengi ninayo semea, ya chombo hiki murua,
Nyingi pongezi pokea, Kwa yote mliyofikia,
sasa mefika wasaa, naomba yenu ridhaa
 
Nashukuru wakubwa, sasa nimekuwa mwenyeji s'how.. bt swali moja laniumiza kichwa ni vp ndugu zetu wasio na access ya computer (ie. vijana vijijini) twaweza kuwafanya washiriki na sisi..?
 
Mimi sina haja ya kukukaribisha, kwa kuwa ulishaingia siku nyingi ndani!
 
Karibu ndani ingia, kihekima tupo wote,
Vuta kigoda kalia, Hekima tele uchote,
Nawe pate hekimika, Jamii nayo faidike,
JF yao wenye busara, Heshimu uheshimike.
 
Katavi

Nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya ya kukaribisha wanachama wapya.

Si wengi wanaokuja bila ya makaribisho kutoka kwako.
Nashukuru sana Gaijin..........nimejikuta napendelea sana kushinda katika hili jukwaa!!!!!
 
Back
Top Bottom