Kuntakunte
Member
- Dec 9, 2012
- 35
- 2
Hodi hodi Wadau wa jf photos naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka picha maana nimesoma kule kwenye maelekezo lakini naona sielewi...natumia simu not computer!!
bandika na supa gluu
bandika na supa gluu
Mkuu mleta thread.
Pole kwa majibu ya kipuuzi kutoka kwa hawa jamaa zetu hapo juu.
Sio aina zote za simu unaweza ku-appload picha, kuna baadhi hazina uwezo huo japo nyingi za kisasa zina uwezo huo. Kwa msaada unaweza kutuma email kwa msaada zaidi kuhusiana na hilo kwenye huku ukieleza aina ya simu unayo tumia. Email support@jamiiforums.com
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
bandika na supa gluu
Ahaaa wabongo ni Was***e akijua kitu anaona mwenzio fa**.
nashukuru kwa ushaur wako mkuu.
Hodi hodi Wadau wa jf photos naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka picha maana nimesoma kule kwenye maelekezo lakini naona sielewi...natumia simu not computer!!
kwa nini hutoi LIKE?Hodi hodi Wadau wa jf photos naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka picha maana nimesoma kule kwenye maelekezo lakini naona sielewi...natumia simu not computer!!
kwa nini hutoi LIKE?
sitoi like kivipi mkuu hebu nielekeze?
sitoi like kivipi mkuu hebu nielekeze?
Kama mtu anatumia simu yenye uwezo mdogo ni vigumu kutoa like. Kwasababu kunabaadh ya mambo hayaonekani, mfano ni hyo sehemu yaku like..
Anamaanisha like=Tigo, so anasema kwa nini hutoi tigo? ili watu wawasiliane na wewe!
Simu yako aina gani?Hodi hodi Wadau wa jf photos naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka picha maana nimesoma kule kwenye maelekezo lakini naona sielewi...natumia simu not computer!!
Rusha picha yako hapa nikuweekee ndo kazi yangu humu jf wewe hauwezi vilevile mimi ndo mtunza picha humuHodi hodi Wadau wa jf photos naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka picha maana nimesoma kule kwenye maelekezo lakini naona sielewi...natumia simu not computer!!
khaaaabandika na supa gluu
Hapo najua hujaridhika umejibu kishingo upandenashukuru kwa ushaur wako mkuu.