Hodi hodi wana jf, mgeni nimekuja nipokeeni kwa moyo mkunjufu.

malinda

Senior Member
Oct 20, 2012
196
32
Natambua kuwa hapa JF ni nyumbani kwa ma great thinkers wa hapa tz, so naamini nitajifunza mambo mengi sana.
 
Back
Top Bottom