HODI HODI Wana Janvi

MKURABITA

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
317
126
Nimeona ni vema kuwa sehemu ya Great Thinkers wa Jamii Forums ili kuweza kushirikiana nanyi kupaza sauti zetu kuliko kuendelea kukaa kimya huku mafisadi wakiendelea kuitafuna nchi yetu bila huruma. Nikaribisheni tafadhali.
 
Karibu sana tena sana. Hiki ni kisima cha mawazo kwa wanamabadiliko wa ukweli. Bila shaka uko tayari kuleta mawazo ya msingi na kujenga taifa letu nje ya mikono ya mabazazi mabaka uchumi wetu. KARIBU SANA TENA SANA BWANA MKURABITA (Ila usijekuwa MKURABITA wa JK) unaoleta maendeleo kwa style ya kuwa na hospitali kama hii ... 8E9U8216.jpg wakati wao wanatibiwa ulaya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom