Hodi hodi wana Dar es Salaam, kijana wa mkoani naja mnikaribishe

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,151
2,000
Wanaume wa Dar mpooo,kijana Mimi mwanaume wa mkoani toka huku kanda ya Kolomije naja hapo nami nijifunze kula mahindi ya Kuchoma na chumvi,mambo ya chipsi yai na Pepsi bariiidi,jioni nipige slesi moja ya mkate

Nitajieni viwanja vya ukweli vyenye Totoz nikifika tu nikale bhata si mnajua Sie wa mkoani bata zetu hazifani sana

Mnikaribishe mwanaume wa mkoani
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Erickford4

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,088
2,000
unaelekea nchi ya Dar Mkuu, huko kuna rais Bashite na ikulu yake mambo mengine utaelekezwa hukohuko.

safari njema
 

mimi ela

Senior Member
Nov 9, 2017
164
225
Umeomba kibali kwa nan?
Inabidi uende mliman city,unakujua?sa sio kwenda na makoti na ukadhani utapanda mlima...mademu was huku no soft sio ka uko wote mnatumia petroleum jelly..af nlitaka kusahau kaangalie na jengo la tanesco ka mwisho mwisho..
 

kayaman

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
4,118
2,000
Wasukuma wenzio wanatamba huku mjini ukipotea wambie umetoka koromije wanajua pakukupeleka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom