III II II II II

New Member
Oct 16, 2021
1
45
Habari!
Jina langu ni |I| |I |I |I |I
Mimi ni Mwanamume.
SINA UMRi, wakati mwingine Mimi ni Kijana na wakati mwingine naweza kuwa mzee, kwa hivyo mtanivumilia kwa mawazo yanayokinzana Kiumri nitakayokuwa natoa humu.

Kwa muda sasa nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa thread mbalimbali humu JamiiForums bila kuwa na Access ya kutoa mada wala kuchangia chochote sabb nilikua sijajiunga rasmi na Jukwaa hili kubwa zaidi la Kijamii hapa East Africa. Sasa nimeamua kuwa Member rasmi wa JF ili kupanua wigo wangu wa ushiriki katika kutoa Mada na kuchangia Hoja katika Mada zilizopo na zitakazoendelea kutolewa humu pamoja nanyi wadau.

NAOMBA KUKARiBiA!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom