Hodi hodi jamvini

vibuchu

Member
Nov 23, 2010
13
0
Napenda kuchukua fursa hii kujitambulisha rasmi jamvini. Ni matumaini yangu mtanipokea kwa mioyo mikunjufu.Asanteni sana.
 
wewe acha usanii unaingia kwanza hadi ndani,baada ya hapo ndiyo unapiga hodi!hii ni mila na desturi ya kabila gani?
 
Athali za mila na desturi siyo lazima ziwe za kabila tu,hii ni desturi ya jamvini.
 
TUKUTUKU, Mbona Katavi anakaribisha wageni hadi chumabani hii ni mila na desturi ya kabila gani?

Mh!huyu katavi ni mtu wa kuogopwa kama magonjwa ya ukoma na ukimwi,huyu jamaa ni mfipa mahali ambapo jembe liliungua na mpini ukasalimika!kwa kifupi ni mchawi balaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom