volunteer1
Member
- Oct 6, 2011
- 25
- 2
Mimi ni volunteer1 najitolea kuitumikia jamiii, hodi!
Karibu volunteer1 ila shaka yangu isije kuwa ni ID ya pili vinginevyo karibu sana jukwaani.
Asante sana RR, nimepanga kuitumia kwa forums za kuwawezesha vijana na watoto!Umepanga kuitumikia JF kaika jukwaa lipi zaidi? Hakikisha unafata rules and regulations... Karibu sana ndugu
Ati zanzibar mwaitwa valantia, ni kweli?
Karibu sana, mimi naitwa Mwita25 na unapozungumzia watu 3 maarufu humu jamvini huwezi ukathubutu kuacha jina langu
Asante sana VS, no payment,no stipend....:A S embarassed:Karibu mdau volunteer,mawazo na michango yako ya fikra pia utavolunteer....no payment,no stipend
Karibu sana, mimi naitwa Mwita25 na unapozungumzia watu 3 maarufu humu jamvini huwezi ukathubutu kuacha jina langu