Hodi Hodi Jamvini

Karibu volunteer1 ila shaka yangu isije kuwa ni ID ya pili vinginevyo karibu sana jukwaani.
 
Umepanga kuitumikia JF kaika jukwaa lipi zaidi? Hakikisha unafata rules and regulations... Karibu sana ndugu
 
Karibu sana, mimi naitwa Mwita25 na unapozungumzia watu 3 maarufu humu jamvini huwezi ukathubutu kuacha jina langu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom