Hodi hodi jamani ...!

Sadma

Member
Sep 10, 2011
20
8
Hello wana JF,
Nime appreciate hili jukwaa ni bab kubwa. Im glad to be part of it.
 
karibu ila umekuja siku mbaayaaaaaaaaa! mana tuna msiba hata hhivyo karibu tu burner.
 
Ni msiba wetu sote tukiwa kama watanzania. Ila tunamshukuru Mungu kwa kila jambo.
Thanks mkuu....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom