kwa kweli lazima niombe radi kwenu. kwa maana nilipoingia tu, sikuwa makini kupekua kila kona ya jamvi na kuona adabu za ukaaji wake. lakini kwa kuwa wenyeji ni waungwana na ma-intelligent, naamini mmenipokea. thank U sana.