hodi hodi hodi wana CHIT-CHAT

mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,272
1,210
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEE.............!!!!!!!!!!!!!
wanachit chat kwa mara ya kwanza naomba kujitambulisha kwenu mie kijana msoga yetu toka msoga kwa walima nanasi huko chalinze napenda kujipa kick kwa mara ya kwanza kuwa baada ya mda mfupi tu nitagombea uenyekiti hapa na kutwaa madaraka ya ARUSHAONE hivyo akae sawa vijana tupo na ari ya juu ya kufanya kazi

kwa mara nyingine naombeni mnipokee.................nawapenda wote

thanks in advance!!:A S 103::A S 103:
 
Mmh mgeni , unawajua na akina Arushaone?
Afu unatinga kwa mkwara mgeni !
Nway mgeni mjuaji karibu .
 
Last edited by a moderator:
Umebisha hodi hata hujakaribishwa umeanza na kampeni wakati bado majina hayajapitishwa!!

Anyway, karibu sana
 
Mmh mgeni , unawajua na akina Arushaone?
Afu unatinga kwa mkwara mgeni !
Nway mgeni mjuaji karibu .
mkuu kuwa na id mpya haimaanishi ni ugeni kwa sababu wengi ni wasomaji sana wa jf ingawaje si members tunaingia kama guests baadae tunavutiwa na kujiunga kama members btw asante kwa ukaribisho
 
Mgeni unaonekana wewe ni MM4. Nakupa siku 14 ujitete usilete ya zito hapa! Afu FYI mwenyekiti ni Erickb52.
MM4?? mi ni CCM for life mkuu CCM imetoa rais toka kijiji chetu katu siwezi kuisaliti asante CCM kutupa hadhi ya kutoa rais wa jamhuri
 
MM4?? mi ni CCM for life mkuu CCM imetoa rais toka kijiji chetu katu siwezi kuisaliti asante CCM kutupa hadhi ya kutoa rais wa jamhuri

Unavunja sheria za CHIT-CHAT kutaja jina la chama cha siasa pia kusemea siasa.
 
Back
Top Bottom