HODI, HODI, HODI TENA!!!!

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,518
Habarini wadau,

Naonekana leo baada ya BAN la kufa mtu yaani kutoka 5.7.2019 hadi 31.7.2019

Nliwamiss nikaribisheni tena

Wadau.
Screenshot_2019-07-20-11-13-53.png
 
we mganga upogo aisee?? kujawahi kula BAN la mwezi???
sijaona kama ni tusi la maana, it was a bit provocative to mods, wajifunze kuvumiliana, mbona MEMBE, MAKAMBA Sr & Jr, KINANA, NAPE, MKAPA wanatukanwa na wapo kimyaaaaa
Nipo tuu.... Najitambua ndio maana sijawahi kupata kifungo kirefuishu ya mbona fulani kafanya hivi si sawa kabisa kwakuwa hatuwezi kufanya mtazamo wa wengine kuwa wetu....
Wale ni wanasiasa sisi ni jukwaa la great thinkers...
 
Back
Top Bottom